Nyashinski - Balance (Official Audio) [SMS ‘Skiza 7500611’ to 811]

Home
Donate
All
People & Blogs
Entertainment
Music
Gaming
Education
Howto & Style
News & Politics
Science & Technology
Film & Animation
Sports
Comedy
Autos & Vehicles
Nonprofits & Activism
Travel & Events
Pets & Animals

#Balance
Lyrics Written and Performed by: Nyashinski (@RealShinski)
Music Co-Written By: Cedric "Cedo" Kadenyi (@cedo_producer)
Music Produced by: Cedric "Cedo" Kadenyi
Copyright: Geta International Ltd.

LYRICS
(Verse 1)
Ok
Million dollar dreams
Za kuishi kwa million dollar cribs
Stakes are too high I can’t quit
Practice piga mpaka istick
I’m so much cooler than you think
Nasisitiza mpaka isink
Hiyo kitu unatafuta iko hapa hivi
Hii ni mixture ya Tupac na tai chi
Ok
Ni si kwa driver’s seat
Ukiona tunapita unadai lift
Na white ikifichwa hutaona kitu
Najijua ndo maana na insist
Shinchillah

(Chorus)
We are the best of the best
Success permanent
Uko na sisi ama bado unalala
Uko na sisi ama bado unafake
Hustle now I’ll rest when I die
See me win
See me win
Uko na sisi ama bado unalala
Uko na si tukienda wowowo

(Verse2)
Kwa mahustler wangu kuna different ways
Kwa masiku mbaya kuna better days
Upcoming anaenda kuwa major paid
Kwa madame wadaku atakuwa razor blade
Ukiulizwa nani ako incharge si ni sisi
Hii box ukiingizwa unabaki kaa kibiriti
Hapana sita sita hizo namba za ibilisi
Na kaa tunakeep it 1 hunna Mi ni gwiji
Hapa ndo mnajionea mbona hii trophy siukeep
You know the drill naenda in too deep
Piga madeal no time for sleep
Shine mpaka waone wananeed kuquit
Show stopper
None better
Kaa uko sure mathako alizaa go getter
Lyft up your hands tuna win for ever
The best usiwai forgetta
Balance

(Chorus)

By using our services, you agree to our Privacy Policy.
Powered by Wildsbet.

© 2021 vTomb

By using our services, you agree to our Privacy Policy.
Got it